Home LOCAL THBUB YATOA TATHIMINI KUHUSU MWENENDO WA JESHI LA POLISI NCHINI

THBUB YATOA TATHIMINI KUHUSU MWENENDO WA JESHI LA POLISI NCHINI

Mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora, Mhe. Mathew Mwaimu (Jaji Mst.) akitoa taarifa ya tathmini ya Tume kuhusu mwenendo na utendaji kazi wa Jeshi la Polisi wakati wa mkutano wake na waandishi wa habari uliofanyika leo (Juni 3, 2022) ofisi za Tume jijini Dar es Salaam.

Waandishi wa Habari wakimsikiliza kwa makini Mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora, Mhe. Mathew Mwaimu (Jaji Mst.) akitoa taarifa ya tathmini ya Tume kuhusu mwenendo na utendaji kazi wa Jeshi la Polisi wakati wa mkutano wake na waandishi wa habari uliofanyika leo (Juni 3, 2022) ofisi za Tume jijini Dar es Salaam.



LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here