Home LOCAL Tazama Picha : TAMASHA LA UTAMADUNI LAHITIMISHWA KWA KISHINDO SHINYANGA…RC MJEMA ASEMA...

Tazama Picha : TAMASHA LA UTAMADUNI LAHITIMISHWA KWA KISHINDO SHINYANGA…RC MJEMA ASEMA KILA WIKI KUNA JAMBO KIJIJI CHA UTAMADUNI BUTULWA

Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Sophia Mjema akizungumza wakati wa kufunga Tamasha la Utamaduni Mkoa wa Shinyanga katika Kijiji cha Utamaduni wa Kabila la Wasukuma Butulwa – Old Shinyanga Manispaa ya Shinyanga Jumanne Juni 7,2022 . Picha na Kadama Malunde – Malunde 1 blog
Na: Kadama Malunde – Malunde 1 blog

Tamasha la Kwanza la Utamaduni Mkoa wa Shinyanga lililokwenda sanjari na uzinduzi wa Kijiji cha utamaduni wa kabila la Wasukuma na Filamu ya The Royal Tour kwa Mkoa wa Shinyanga limehitimishwa kwa shangwe kubwa huku Mkuu wa Mkoa huo Mhe. Sophia Mjema akiahidi shughuli mbalimbali za Kiutamaduni kuendelea kufanyika katika kijiji hicho kila wiki.

Tamasha hilo lilizinduliwa Juni 7,2022 na Waziri wa Maliasili na Utalii Balozi Dkt. Pindi Chana kwa niaba ya Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa na kufungwa na Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Sophia Mjema Juni 8,2022 katika kijiji cha Utamaduni wa Kabila la Wasukuma cha Butulwa kata ya Old – Shinyanga Manispaa ya Shinyanga.

Akizungumza wakati wa kufunga Tamasha hilo, Mhe. Mjema amewapongeza na kuwashukuru wananchi kujitokeza kwa wingi kushiriki tamasha la utamaduni ili kutii na kutekeleza agizo la Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan la kuhakikisha kila Mkoa unaenzi na kudumisha tamaduni zao hivyo kuwakumbusha wananchi kuenzi tamaduni zao kama Rais Samia anavyosisitiza mara kwa mara juu ya umuhimu wa kuenzi utamaduni zikiwemo mila na desturi.

Mhe. Mjema amesema kufuatia uzinduzi wa kijiji cha Utamaduni shughuli mbalimbali za utamaduni zitaendelea kufanyika kila wiki katika kijiji hicho cha Butulwa – Old Shinyanga hivyo kuwasihi wananchi kuendelea kutembelea kijiji cha utamaduni ili kujifunza masuala ya utamaduni wa Kabila la Wasukuma.

TAZAMA PICHA HAPA CHINI

Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Sophia Mjema akizungumza wakati wa kufunga Tamasha la Utamaduni Mkoa wa Shinyanga katika Kijiji cha Utamaduni wa Kabila la Wasukuma Butulwa – Old Shinyanga Manispaa ya Shinyanga Jumanne Juni 7,2022 . Picha zote na Kadama Malunde – Malunde 1 blog.
 

Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Sophia Mjema akizungumza wakati wa kufunga Tamasha la Utamaduni Mkoa wa Shinyanga katika Kijiji cha Utamaduni wa Kabila la Wasukuma Butulwa – Old Shinyanga Manispaa ya Shinyanga Jumanne Juni 7,2022.
 

Wananchi wakimsikiliza Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Sophia Mjema akizungumza wakati wa kufunga Tamasha la Utamaduni Mkoa wa Shinyanga katika Kijiji cha Utamaduni wa Kabila la Wasukuma Butulwa – Old Shinyanga Manispaa ya Shinyanga Jumanne Juni 7,2022.
 

Mwenyekiti wa Machifu Mkoa wa Shinyanga Chifu Jidola akizungumza kwenye Tamasha la Utamaduni Mkoa wa Shinyanga katika Kijiji cha Utamaduni wa Kabila la Wasukuma Butulwa – Old Shinyanga Manispaa ya Shinyanga

Katibu Tawala Mkoa wa Shinyanga Mhe. Zuwena Omary akizungumza kwenye Tamasha la Utamaduni Mkoa wa Shinyanga katika Kijiji cha Utamaduni wa Kabila la Wasukuma Butulwa – Old Shinyanga Manispaa ya Shinyanga Jumanne Juni 7,2022 .

Burudani ya ngoma ya Waswezi ikiendelea kwenye Tamasha la Utamaduni Mkoa wa Shinyanga katika Kijiji cha Utamaduni wa Kabila la Wasukuma Butulwa – Old Shinyanga Manispaa ya Shinyanga.
 

Akina mama wakitwanga nafaka kwenye Tamasha la Utamaduni Mkoa wa Shinyanga katika Kijiji cha Utamaduni wa Kabila la Wasukuma Butulwa – Old Shinyanga Manispaa ya Shinyanga.
 

Akina mama wakisaga nafaka kwenye Tamasha la Utamaduni Mkoa wa Shinyanga katika Kijiji cha Utamaduni wa Kabila la Wasukuma Butulwa – Old Shinyanga Manispaa ya Shinyanga.
 

Mkuu wa wilaya ya Kahama Mhe. Festo Kiswaga na Mkuu wa wilaya ya Kishapu Joseph Mkude (kulia) wakitwanga kwenye Tamasha la Utamaduni Mkoa wa Shinyanga katika Kijiji cha Utamaduni wa Kabila la Wasukuma Butulwa – Old Shinyanga Manispaa ya Shinyanga.
 

Mwananchi akirekodi matukio kwa kutumia simu yake ya Kitochi ‘Kiswaswadu kwenye tamasha la utamaduni.
 

Wafugaji kutoka Kishapu wakicheza mchezo wa Kuchapana Fimbo kwenye Tamasha la Utamaduni Mkoa wa Shinyanga katika Kijiji cha Utamaduni wa Kabila la Wasukuma Butulwa – Old Shinyanga Manispaa ya Shinyanga.
 

Wafugaji kutoka Kishapu wakicheza mchezo wa Kuchapana Fimbo kwenye Tamasha la Utamaduni Mkoa wa Shinyanga katika Kijiji cha Utamaduni wa Kabila la Wasukuma Butulwa – Old Shinyanga Manispaa ya Shinyanga.
 

Askari wa Jeshi la Jadi Sungusungu Usanda akiwa amebeba kinu kwa meno kwenye Tamasha la Utamaduni Mkoa wa Shinyanga katika Kijiji cha Utamaduni wa Kabila la Wasukuma Butulwa – Old Shinyanga Manispaa ya Shinyanga.
 

Askari wa Jeshi la Jadi Sungusungu Usanda akionesha mbwembwe kwenye Tamasha la Utamaduni Mkoa wa Shinyanga katika Kijiji cha Utamaduni wa Kabila la Wasukuma Butulwa – Old Shinyanga Manispaa ya Shinyanga.
 

Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Shinyanga ACP George Kyando (kushoto) akicheza ngoma ya askari wa Jeshi la Jadi Sungusungu Usanda kwenye Tamasha la Utamaduni Mkoa wa Shinyanga katika Kijiji cha Utamaduni wa Kabila la Wasukuma Butulwa – Old Shinyanga Manispaa ya Shinyanga.
 

Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Shinyanga ACP George Kyando (kushoto) akicheza ngoma ya askari wa Jeshi la Jadi Sungusungu Usanda kwenye Tamasha la Utamaduni Mkoa wa Shinyanga katika Kijiji cha Utamaduni wa Kabila la Wasukuma Butulwa – Old Shinyanga Manispaa ya Shinyanga.
 

Wanafunzi wa shule ya Little Treasures wakicheza ngoma ya asili kwenye Tamasha la Utamaduni Mkoa wa Shinyanga katika Kijiji cha Utamaduni wa Kabila la Wasukuma Butulwa – Old Shinyanga Manispaa ya Shinyanga.
 

Wananchi wakifuatilia burudani kwenye Tamasha la Utamaduni Mkoa wa Shinyanga katika Kijiji cha Utamaduni wa Kabila la Wasukuma Butulwa – Old Shinyanga Manispaa ya Shinyanga

Burudani ikiendelea kwenye Tamasha la Utamaduni Mkoa wa Shinyanga katika Kijiji cha Utamaduni wa Kabila la Wasukuma Butulwa – Old Shinyanga Manispaa ya Shinyanga.
 

Msanii wa Nyimbo za asili Shoka kutoka Chamaguha Manispaa ya Shinyanga akitoa burudani kwenye Tamasha la Utamaduni Mkoa wa Shinyanga katika Kijiji cha Utamaduni wa Kabila la Wasukuma Butulwa – Old Shinyanga Manispaa ya Shinyanga.
 

Banda la Kampuni ya Jambo kwenye Tamasha la Utamaduni Mkoa wa Shinyanga katika Kijiji cha Utamaduni wa Kabila la Wasukuma Butulwa – Old Shinyanga Manispaa ya Shinyanga.
 

Gari la Matangazo la Kampuni ya Jambo likiwa kwenye Tamasha la Utamaduni Mkoa wa Shinyanga katika Kijiji cha Utamaduni wa Kabila la Wasukuma Butulwa – Old Shinyanga Manispaa ya Shinyanga.
 

Wadau wakiwa kwenye Tamasha la Utamaduni Mkoa wa Shinyanga katika Kijiji cha Utamaduni wa Kabila la Wasukuma Butulwa – Old Shinyanga Manispaa ya Shinyanga.
 

Wadau wakiwa kwenye Tamasha la Utamaduni Mkoa wa Shinyanga katika Kijiji cha Utamaduni wa Kabila la Wasukuma Butulwa – Old Shinyanga Manispaa ya Shinyanga.
 

Katibu Tawala Wilaya ya Shinyanga, Boniphace Chambi akizungumza kwenye Tamasha la Utamaduni Mkoa wa Shinyanga katika Kijiji cha Utamaduni wa Kabila la Wasukuma Butulwa – Old Shinyanga Manispaa ya Shinyanga.


Wadau wakiwa kwenye Tamasha la Utamaduni Mkoa wa Shinyanga katika Kijiji cha Utamaduni wa Kabila la Wasukuma Butulwa – Old Shinyanga Manispaa ya Shinyanga. Katikati ni Mbunge wa Jimbo la Ushetu Mhe. Emmanuel Cherehani.
 

Mbunge wa Jimbo la Ushetu Mhe. Emmanuel Cherehani akisalimiana na wananchi kwenye Tamasha la Utamaduni.
 

Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Sophia Mjema akizungumza wakati akijiandaa kukabidhi vyeti vya Shukrani kutambua ushiriki na mchango wa wadau mbalimbali kwenye Tamasha la Utamaduni Mkoa wa Shinyanga katika Kijiji cha Utamaduni wa Kabila la Wasukuma Butulwa – Old Shinyanga Manispaa ya Shinyanga Jumanne Juni 7,2022.
 

Previous articleNIKALEX YAPATA BARAKA KUANDAA MISS DODOMA 2023
Next articleBARRICK YAUNGA MKONO UKUZAJI WA SEKTA YA UTALII NCHINI KUPITIA TAMASHA LA UTAMADUNI MKOA WA SHINYANGA
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here