Home SPORTS TAIFA STARS MAMBO MAGUMU

TAIFA STARS MAMBO MAGUMU


Timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ imekubali kichapo cha mabao 2-0 dhidi ya Algeria katika Uwanja wa Benjamin Mkapa na kusalia nafasi ya 3 katika kundi F ikiwa na pointi 1.

Nafasi ya nne yupo Uganda akiwa na pointi 1 na Algeria anaongoza kundi akiwa na alama 6 baada ya kushinda mechi mbili huku Niger akiwa nafasi ya pili na alama 2.

Mechi ijayo Stars itacheza dhidi ya Uganda Septemba 19 ugenini kisha kurudiana Septemba 27 kwa Mkapa.
Previous articleBARRICK YAUNGA MKONO UKUZAJI WA SEKTA YA UTALII NCHINI KUPITIA TAMASHA LA UTAMADUNI MKOA WA SHINYANGA
Next articleMAGAZETI YA LEO ALHAMISI JUNI 9,2022
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here