Home SPORTS SIMBA YAPIGISHWA KWATA SOKOINE

SIMBA YAPIGISHWA KWATA SOKOINE

 

Na: Mwandishi WETU

KIKOSI cha Tanzania Prisons leo  wameibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya vigogo, Simba SC katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara jioni ya leo Uwanja wa Sokoine Jijini Mbeya.

Bao pekee la Tanzania Prisons limefungwa na Nahodha wake, Benjamin Asukile dakika ya 54 na kwa ushindi huo, wanafikisha pointi 29 za mechi 29 na kusogea nafasi ya 14.

Kwa upande wao, Simba wanabaki na pointi zake 60 nafasi ya pili nyuma ya mabingwa tayari, Yanga wenye pointi 71 baada ya wote kucheza mechi 29.

Previous articleSERIKALI YATANGAZA WAOMBAJI WALIOKIDHI VIGEZO NA KUPANGIWA VITUO KADA YA AFYA NA WALIMU
Next articleMWALIMU TUNDURU AJIFUNGUA MAPACHA WANNE
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here