Home SPORTS RAIS WA ZANZIBAR MHE.DK.HUSSEIN ALI MWINYI AZUNGUMZA NA UONGOZI WA TIMU YA...

RAIS WA ZANZIBAR MHE.DK.HUSSEIN ALI MWINYI AZUNGUMZA NA UONGOZI WA TIMU YA SOUTHMPTON YA UINGEREZA IKULU

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Ujumbe wa Timu ya Southampton kutoka Nchini Uingereza ukiongozwa na Mkurugenzi Mkuu wa Biashara wa Timu hiyo David Thomas, walipofika Ikulu kwa mazumgumzo na (kulia kwa Rais) Mshaurielekezi Ammy Ninje na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar Mhe. Simai Mohammed Said na Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Ujumbe wa Timu ya Southampton kutoka Nchini Uingereza walipofika Ikulu Zanzibar kwa mazungumzo na kijitambulisha (kulia kwa Rais) Mshauri elekezi. Ammy Ninje na Mkurugenzi Mkuu wa Biashara wa Timu hiyo David Thomas,na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar Mhe. Simai Mohammed Said na Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Ujumbe wa Uongozi wa Timu ya Southampton kutoka Nchini Uingereza ukiongozwa na Mkurugenzi Mkuu wa Biashara wa Timu hiyo David Thomas, walipofika Ikulu kwa mazumgumzo na kumkabidhi Jezi ya Timu yao, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa jezi namba 10 ya Timu ya Southampton yenye jina lake na Mkurugenzi Mkuu wa Biashara wa Timu hiyo David Thomas, baada ya kumaliza mazungumzo yao yalioyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar  

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa bendera ya Timu ya Southampton na Mkurugenzi Mkuu wa Biashara wa Timu hiyo David Thomas, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar, walipofika kwa mazungumzo na kijitambulisha na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar Mhe. Simai Mohammed Said.(Picha na Ikulu)

Previous articleTGNP, WADAU WATOA MAONI KUHUSU BAJETI YA SERIKALI KWA MWAKA WA FEDHA 2022/2023
Next articleBARAZA LA WATOTO IKUNGI LABAINISHA SABABU ZA WATOTO KUFANYIWA UKATILI
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here