Home LOCAL RAIS SAMIA YUKO MUSCAT NCHINI OMAN KWA AJILI YA ZIARA YA...

RAIS SAMIA YUKO MUSCAT NCHINI OMAN KWA AJILI YA ZIARA YA KIKAZI YA SIKU TATU

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa amesimama pamoja na Mwenyeji wake Kiongozi Mkuu wa Taifa la Omani Sultan Haitham bin Tariq Al Said wakati Wimbo wa Taifa wa Tanzania ukipigwa katika mapokezi Rasmi yaliyofanyika kwenye viwanja vya Kasri ya Al Alam Muscat nchini Oman tarehe 12 Juni, 2022

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya pamoja na Mwenyeji wake Kiongozi Mkuu wa Taifa la Omani Sultan Oman Haitham bin Tariq Al Said kabla ya kuanza mazungumzo yaliyofanyika Kasri ya Al Alam Muscat nchini Oman tarehe 12 Juni, 2022. 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na viongozi mbalimbali wa Serikali ya Oman mara baada ya kuwasili Kasri ya Al Alam Muscat nchini humo tarehe 12 Juni, 2022. 

 Kikosi cha Jeshi la Oman kikiwasili katika viwanja vya Kasri ya Al Alam kwa ajili ya Mapokezi Rasmi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, Muscat nchini Oman tarehe 12 Juni, 2022. PICHA NA IKULU

Previous articleBASHUNGWA AWASIMAMISHA KAZI AFISA MANUNUZI NA MKAGUZI WA NDANI HALMASHAURI YA WILAYA KARAGWE
Next articleYASEMAVYO MAGAZETI ASUBUHI YA LEO JUMATATU JUNI 13-2022
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here