Home BUSINESS RAIS SAMIA ASHUHUDIA UTIAJI SAINI MKATABA WA AWALI WA KUCHAKATA NA KUSINDIKA...

RAIS SAMIA ASHUHUDIA UTIAJI SAINI MKATABA WA AWALI WA KUCHAKATA NA KUSINDIKA GESI ASILIA IKULU CHAMMWINO DODOMA

   Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akishuhudia utiaji saini Mkataba wa Awali wa Mradi wa kuchakata na kusindika Gesi Asilia (Liquefied Natural Gas – LNG Project) kwenye Hafla iliyofanyika tarehe 11 Juni 2022 Ikulu, Chamwino Dodoma.

 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Viongozi na Wananchi kwenye Hafla ya utiaji saini Mkataba wa Awali wa Mradi wa kuchakata na kusindika Gesi Asilia (Liquefied Natural Gas – LNG Project) iliyofanyika tarehe 11 Juni 2022 Ikulu, Chamwino Dodoma.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Baadhi ya Wawekezaji mara baada ya Hafla ya utiaji saini Mkataba wa Awali wa Mradi wa kuchakata na kusindika Gesi Asilia (Liquefied Natural Gas – LNG Project) iliyofanyika tarehe 11 Juni 2022 Ikulu, Chamwino Dodoma.

Previous articleDC KHERI JAMES AZINDUA CHAMA CHA WABABA KANISA LA ANGLIKANA (UBAKI) UBUNGO, ASISITIZA KUSHIRIKI SENSA MWEZI AGOSTI,2022
Next articleJUMUIYA YA NALIKA TUNDURU YATAKA WAWEKEZAJI WENYE TIJA SEKTA YA UTALII
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here