Home BUSINESS HABARI PICHA: TIRDO YATOA EKIMU YA TEKNOLOJIA YA KISASA YA KUTENGENEZA MAFUTA...

HABARI PICHA: TIRDO YATOA EKIMU YA TEKNOLOJIA YA KISASA YA KUTENGENEZA MAFUTA TETE (ESSENTIAL OIL)


Kaimu Mkurugenzi wa TEHAMA wa TIRDO Elizabeth Mtegwa (Katikati) akifuatilia maelekezo ya Mkemia wa Taasisi hiyo Adili Sanga (kulia) alipokuwa akionesha namna ya kutengeneza Mafuta Tete (Essential Oil) kutoka katika mimea mbalimbali kwa ,taalamu wa Teknolojia Amry juma (kushoto) aliyetembelea katika Banda la TIRDO lililopo ndani ya Banda la Viwanda na Biashara katika maonesho ya 46 ya Sabasaba Juni 30,2022 Jijini Dar es Salaam.

Kaimu Mkurugenzi wa TEHAMA wa TIRDO Elizabeth Mtegwa (kushoto) akizungumza na wageni waliotembelea katika Banda lao kujionea na kujifunza shughuli mbalimbali zinazofanywa na Taasisi hiyo katika Maonesho ya Sabasaba Juni 30,2022 Dar es Salaam.
Mtafiti kutoka kitengo cha Kemia cha TIRDO Jacklin Wendwa (katikati) akizungumza na Mgeni aliyetembelea Bandani kwao Shiton Ulomi (kulia) kujifunza namna TIRDO inavyotekeleza majukumuyake. (kushoto) ni Mkemia wa TIRDO Adili Sanga.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here