Home BUSINESS BRELA YASHIRIKI MKUTANO WA MILIKI BUNIFU NCHINI ESWATINI

BRELA YASHIRIKI MKUTANO WA MILIKI BUNIFU NCHINI ESWATINI

Afisa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni(BRELA), Bw. Godfrey Nyaisa, akifuatilia Mkutano wa Wakuu wa Taasisi zinazohusika na masuala ya Miliki Bunifu, kutoka nchi wanachama wa Shirika la Kanda ya Afrika la Miliki Bunifu (ARIPO), ulioanza leo tarehe 8 Juni, 2022 katika hoteli ya Royal Villas, Ezulwini, Eswatini. Mkutano huo wa siku tatu unajadili changamoto za Miliki Bunifu kutoka nchi wanachama na jinsi ya kukabiliana nazo.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here