Home SPORTS BASHUNGWA AIPONGEZA YANGA KUTWAA UBINGWA WA LIGI KUU YA NBC 2021/2022.

BASHUNGWA AIPONGEZA YANGA KUTWAA UBINGWA WA LIGI KUU YA NBC 2021/2022.

WAZIRI Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Mhe. Innocent Bashungwa,akimkabidhi  Kombe Nahodha wa Yanga Bakari Mwamnyeto baada ya Yanga kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu ya Tanzania  bara msimu wa 2021/22 katika uwanja wa Sokoine jijini Mbeya.

WAZIRI Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Mhe. Innocent Bashungwa,akikabidhiwa Kombe na  Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Wallace Karia kwa ajili ya kuwakabidhi Mabingwa wapya wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania bara timu ya Yanga msimu wa 2021/22 katika uwanja wa Sokoine jijini Mbeya

 WAZIRI Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Mhe. Innocent Bashungwa,akiwavisha Medali wachezaji wa Yanga pamoja na benchi la Ufundi mara baada ya kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania bara  msimu wa 2021/22 katika uwanja wa Sokoine jijini Mbeya.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here