Home INTERNATIONAL BALOZI MULAMULA ATAKA MIGOGORO KATIKA NCHI YA JUMUIYA YA MADOLA IMALIZWE

BALOZI MULAMULA ATAKA MIGOGORO KATIKA NCHI YA JUMUIYA YA MADOLA IMALIZWE


Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Liberata Mulamula akiwa katika kiti cha Tanzania wakati wa Mkutano wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Madola unaofanyika nchini Rwanda tarehe 20 hadi 25 Juni 2022.
  Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Liberata Mulamula akisalimiana na Mawaziri wenzake wanaoshiriki katika mkutano wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Madola unaofanyika nchini Rwanda tarehe 20 hadi 25 Juni 2022.

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Liberata Mulamula akiwa na makabrasha ya mkutano akilekea kwenye Kiti cha Tanzania kwa ajili ya kushiiki mkutano wa Mawaziri wa sJumuiya ya Madola unaofanyika nchini Rwanda. .

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Liberata Mulamula akihojiwa na mwandishi wa Kituo cha Runimga cha Channel 10, Bw. Ezekiel Mwamboko. Aliyemshikia kipaza sauti ni Mkurugenzi wa Kitengo cha Mawasiliano ya Serikali katika Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki,, Balozi Mindi Kasiga.
 
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Liberata Mulamula akiwa katika picha ya pamoja na Mawaziri wa Mambo ya Nje wa nchi za Jumuiya ya Madola wanaoshiriki katika Mkutano wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa jumuiya hiyo unaofanyika nchini Rwanda tarehe 20 hadi 25 Juni 2022.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here