Home Uncategorized YANGA YAZUILIWA KWA MKAPA, YATOKA 0-0 NA RUVU SHOOTING

YANGA YAZUILIWA KWA MKAPA, YATOKA 0-0 NA RUVU SHOOTING

KLABU ya yanga imeendelea kutoa sare ambapo leo imelazimishwa sare na timu ya Tanzania Prison mchezo uliochezwa katika dimba la Benjamini Mkapa Jijini Dar es Salaam.

Yanga Sc imechezea nafasi nyingi za wazi kipindi cha kwanza licha ya kupata penati ambayo ilienda kupigwa na mshambuliaji wao Fiston Mayele lakini hakuweza kufunga na mpira ukaenda juu.

Yanga huu mchezo wake wa tatu mfululizo wanashindwa kupata ushindi baada ya mechi waliocheza na Simba Sc na kutoka sarre ya bila kufungana na mechi ya pili ambayo ilichezwa mkoani Kigoma dhidi ya Ruvu Shooting nako alitoa sare ya bila kufungana.
Previous articleKMC FC YAANZA KUJIFUA KUWAKABILI MTIBWA SUGAR ALHAMISI UWANJA WA UHURU
Next articleYASEMAVYO MAGAZETI ASUBUHI YA LEO JUMANNE MEI 10-2022
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here