Home SPORTS YANGA, BIASHARA ZATOSHANA NGUVU KIRUMBA

YANGA, BIASHARA ZATOSHANA NGUVU KIRUMBA


Na: Stella kessy.

VINARA wa ligi kuu Tanzania bara Yanga Leo wametoka sare  1-1 dhidi ya Biashara  katika mchezo uliochezwa katika Dimba la  CCM Kirumba Jijini Mwanza.

Katika mchezo huo wote kuweza kutoshana nguvu, huku ubao umesoma Biashara United 1-1 Yanga ambapo Yanga walianza kufunga Yanga kisha Biashara United wao wakaweka usawa.

Ilikuwa ni bao la dk ya 74 Fiston Mayele ambaye amefikisha jumla ya mabao 14 sawa na George Mpole wa Geita Gold ambaye ni mzawa.

Huku bao la Biashara United lilifungwa na Collins Opare ilikuwa dk ya 77 na kufanya ubao usome 1-1.

Kwa upande wa kocha wa Biashara united Vivier Bahati,  amesema wachezaji wake walishindwa kutumia nafasi ambazo walizipata kwenye mchezo wa leo.

Previous articleWABUNGE NA WAJUMBE WA BARAZA LA WAWAKILISHI WAJENGEWA UWEZO KUHUSU MKATABA WA AfCFTA ZANZIBAR
Next articleWABUNGE CHANGAMKIENI FURSA YA MAONESHO WIZARA YA NISHATI: WAZIRI MAKAMBA
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here