Home LOCAL RAIS WA ZANZIBAR MHE.,DK.HUSSEIN ALI MWINYI AMEWAAPISHA VIONGOZI WA DINI KADHI MKUU...

RAIS WA ZANZIBAR MHE.,DK.HUSSEIN ALI MWINYI AMEWAAPISHA VIONGOZI WA DINI KADHI MKUU WA ZANZIBAR NA NAIBU KADHI MKUU WA ZANZIBAR IKULU

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Sheikh Hassan Othman Ngwali kuwa Kadhi Mkuu wa Zanzibar, hafla hiyo iliyofanyika katika Ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 12-5-2022.
 

SHEIKH Hassan Othman Ngwali akiapishwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) kuwa Kadhi Mkuu wa Zanzibar, hafla hiyo ya kuapishwa iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 12-5-2022.
 

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Sheikh Othman Ame Chum kuwa Naibu Kadhi Mkuu wa Zanzibar, hafla hiyo ya kuapishwa iliyofanyika katika Ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 12-5-2022.(Picha na Ikulu)

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here