Home LOCAL RAIS WA ZANZIBAR MHE.DK.HUSSEIN ALI MWINYI AMEKUTANA NA KUZUNGUMZA NA MWAKILISHI MKAAZI...

RAIS WA ZANZIBAR MHE.DK.HUSSEIN ALI MWINYI AMEKUTANA NA KUZUNGUMZA NA MWAKILISHI MKAAZI WA SHIRIKA LA CHAKULA DUNIANI NCHINI TANZANIA BI.SARAH GORDON-GIBSON IKULU ZANZIBAR

Thank you for reading this post, don't forget to subscribe!

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Mwakilishi Mkaazi wa Shirika la Chakula Duniani (WFP) Nchini Tanzania Bi.Sarah Gordon-Gibson.(kulia kwa Rais) akiwa na Ujumbe wake walipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu 


RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na mgeni wake Mwakilishi Mkaazi wa Shirika la Chakula Duniani (WFP) Nchini Tanzania Bi.Sarah Gordon-Gebson.(kulia kwa Rais) alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu


RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika picha ya pamoja na Mwakilishi Mkaazi wa Shirika la Chakula Duniani (WFP) Nchini Tanzania Bi.Sarah Gordon-Gibson, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 5-5-2022.(Picha na Ikulu)