Home LOCAL RAIS SAMIA HASSAN SULUHU HASSAN AWASILI MKOANI TABORA KWA AJILI YA KUANZA...

RAIS SAMIA HASSAN SULUHU HASSAN AWASILI MKOANI TABORA KWA AJILI YA KUANZA ZIARA YA SIKU TATU

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Viongozi na Wananchi wa Mkoa wa Tabora mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Tabora kwa ajili ya kuanza ziara ya kikazi ya siku tatu

   Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Wananchi wa Kigwa, Igalula Mkoani Tabora alipokuwa njiani kutoka Kijiji cha Tura Wilaya ya Uyui kwa ajili ya shughuli ya uzinduzi wa Barabara ya Nyahua_ Chaya.

Previous articleSHAKA ASEMA UONGOZI WA RAIS SAMIA UNASIMAMIA MISINGI YA HAKI, DEMOKRASIA NA UTAWALA BORA
Next articleYASEMAVYO MAGAZETI ASUBUHI YA LEO JUMATANO MEI 18-2022
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here