Home LOCAL RAIS SAMIA AONDOKA NCHINI KUELEKEA NCHINI GHANA KWA AJILI YA ZIARA YA...

RAIS SAMIA AONDOKA NCHINI KUELEKEA NCHINI GHANA KWA AJILI YA ZIARA YA KIKAZI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiagana na Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa katika uwanja wa Ndege wa Dodoma wakati akielekea Accra nchini Ghana kwa ajili ya Ziara ya Kikazi ya Siku tatu leo tarehe 23 Mei, 2022.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here