Home LOCAL RAIS SAMIA AHUTUBIA KATIKA MAADHIMISHO YA SHEREHE YA WAFANYAKAZI DUNIANI MEI MOSI...

RAIS SAMIA AHUTUBIA KATIKA MAADHIMISHO YA SHEREHE YA WAFANYAKAZI DUNIANI MEI MOSI KITAIFA JIJINI DODOMA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa mara baada ya kuwasili katika uwanja wa Jamhuri kwa ajili ya kushiriki Sherehe za siku ya Wafanyakazi Duniani Mei Mosi ambapo Kitaifa zimefanyika Jijini Dodoma tarehe 01 Mei, 2022.


Wafanyakazi kutoka Taasisi mbalimbali za Serikali, Binafsi pamoja na Sekta mbalimbali wakipita mbele ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan kutoa ujumbe mbalimbali kuhusiana na Sherehe za siku ya Wafanyakazi Duniani Mei Mosi ambapo Kitaifa zimefanyika Jijini Dodoma tarehe 01 Mei, 2022.


Wafanyakazi kutoka Taasisi mbalimbali za Serikali wakiwa katika Sherehe za siku ya Wafanyakazi Duniani Mei Mosi ambapo Kitaifa zimefanyika kwenye uwanja wa Jamhuri Jijini Dodoma tarehe 01 Mei, 2022.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwapungia mkono Wafanyakazi waliokuwa wakipita mbele ya Jukwaa Kuu na ujumbe mbalimbali wa siku ya Wafanyakazi Duniani Mei Mosi ambapo Kitaifa zimefanyika katika uwanja wa Jamhuri Jijini Dodoma tarehe 01 Mei, 2022.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na Makamu wa Rais Dkt. Philip Isdor Mpango, Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa, Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Hussein Kattanga, Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Tulia Ackson, Rais wa TUCTA Tumaini Nyamhokya wakiimba nyimbo ya Mshikamano (Solidarity)


Wafanyakazi kutoka Taasisi mbalimbali za Serikali wakiwa katika Sherehe za siku ya Wafanyakazi Duniani Mei Mosi ambapo Kitaifa zimefanyika kwenye uwanja wa Jamhuri Jijini Dodoma tarehe 01 Mei, 2022.

Previous articleSHILINGI 500 MILIONI KUMALIZA KERO YA MAJI VIJIJI VYA LWANDE NA SAGASI KILINDI TANGA
Next articleMAGAZETI YA LEO JUMATATU MEI 2-2022
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here