Home LOCAL RAIS SAMIA AFANYA ZIARA YA SIKU MBILI NCHINI UGANDA, ASHUHUDIA UTIAJI SAINI...

RAIS SAMIA AFANYA ZIARA YA SIKU MBILI NCHINI UGANDA, ASHUHUDIA UTIAJI SAINI HATI YA USHIRIKIANO

 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, leo Mei 10th 2022 amewasili Nchini Uganda kuanza ziara ya Kiserikali ya siku mbili, ambapo katika Ikulu ya Entebbe nchi humo amepokelewa na Mwenyeji wake Rais Yoweri Museveni.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza Jijini Kampala katika Mkutano wa Biashara wa Sekta Binafsi uliowahusisha Watendaji Wakuu CEOs wa Sekta hiyo kutoka Tanzania na Uganda tarehe 10 Mei, 2022.




Mawaziri pamoja na Wakuu wa Taasisi mbalimbali kutoka nchini Tanzania wakiwa katika Mkutano wa Biashara uliowahusisha Watendaji Wakuu CEOs wa Sekta Binafsi kutoka Tanzania na Uganda tarehe 10 Mei, 2022.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Mwenyekiti mstaafu wa Jumuiya ya Wafanyabiashara Nchini Uganda Jijini Kampala, baada ya kumalizika Mkutano wa Biashara uliowahusisha Watendaji Wakuu CEOs wa Sekta Binafsi kutoka Tanzania na Uganda tarehe 10 Mei, 2022.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here