Home ENTERTAINMENTS MSANII CHABADE KUTOKA RWANDA ARUDI KWA WINE

MSANII CHABADE KUTOKA RWANDA ARUDI KWA WINE

Daddy Chabade a.k.a Chabade.

 
Daddy Chabade a.k.a Chabade ni msanii wa muziki kutoka nchini Rwanda ambaye harakati zake za kimuziki na maisha yake yameegamia nchini Finland.

Chabade ni msanii wa muziki, mwandishi wa nyimbo na pia ni  mtu mwenye ndoto kubwa ya kufanya kazi na wasanii kutoka Afrika Mashariki ikiwemo nchini Tanzania bila kusahau watayarishaji wa muziki kutoka Tanzania.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here