Home LOCAL KONGAMANO LA AIESEC LAFANYIKA CHUO KIKUU CHA MZUMBE

KONGAMANO LA AIESEC LAFANYIKA CHUO KIKUU CHA MZUMBE


Afisa mwajiri wa kampuni ya Barrick, Alfa Rashid (kushoto) akibadilishana mawazo na Watendaji kutoka taasisi ya AIESEC.
 
Kongamano la kuwajengea Wanafunzi wa vyuo vikuu lililoandaliwa na taasisi ya AIESEC tawi la Tanzania na kudhaminiwa na Kampuni ya Madini ya Barrick, kwa kushirikiana na wadau mbalimbali limefanyika katika Chuo Kikuu cha Mzumbe –Morogoro, ambapo wataalamu mbalimbali walitoa mada za kuwajengea uwezo Wanafunzi kusoma kwa bidii na kuzidi kuwa wabunifu ili waweze kwenda sambamba na mabadiliko ya kiteknolojia na kidigitali ili waweze kunufaika na fursa mbalimbali zinazojitokeza na kuwa na uwezo wa kujiajiri.
 

Baadhi ya Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Mzumbe,kampasi ya Morogoro wakifuatilia mada wakati wa kongamano hilo.
 

Mhadhiri wa Chuo kikuu Mzumbe Dkt. Albogasti Mkabila, akibadilishana mawazo na Diwani wa kata ya Mzumbe, Godfrey Fransis, wakati wa kongamano.
 

Baadhi ya Wanafunzi wakipiga picha ya pamoja na watoa mada,waandaaji na wawakilishi wa makampuni yaliyofadhili kongamano hilo.
Previous articleSTAMICO NA ABSA WASAINI MKATABA WA KUUZIANA MAKAA YA MAWE
Next articleKUNDI LA WHATSAPP LA JAMII YA WAIKIZU ‘ICDT’ LACHANGIA MILIONI 10 KWA AJILI YA UJENZI WA SHULE YA SEKONDARI SANZATE BUNDA
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here