Home ENTERTAINMENTS HARUSI AWARD MSIMU WA PILI KURINDIMA KESHO.

HARUSI AWARD MSIMU WA PILI KURINDIMA KESHO.

 NA: MWANDISHI WETU.

TUZO 25 zinatarajiwa kutolewa kesho katika hotel ya Serena jijini Dar Es Salaa,  katika vipengele tofauti katika tasnia ya watoa huduma wa harusi hapa nchin.

Huu ni msimu wa pili wa tuzo hizo ambapo kwa mara ya kwanza ulifanyika mwaka jana na kuhudhururiwa na watu mbalimbali akiwemo Angel Ngalula, Mwenyekiti wa sekta binafsi ambaye alikuwa mgeni rasm.

Akizungumza na ukurasa huu muasisi  wa tuzo hizo Mustapha Hasanali, amesema tayari maandalizi ya mekamilika na tuzo hizo zitakuwa huru na za haki .

Tumekamilisha hatua zote za maandalizi nipende kuwatoa hufu wale walioshiriki kinyang’anyiro hichi katika vipengele tofauti napenda kuwa ambia kuwa tuzo hizi zitakuwa za kweli na haki bila ya upendeleo wowote,” anasema Mustapha Hasanali.

Mbali ya tukio hilo kutakuwa na burudani kutoka kwa wasanii tofauti akiwemo Leyla Rashid kutoka kundi la Jahazi modern taarabu ambapo kiingilio VIP 70000 na kawaida 30000.

Previous articleMBUNIFU NEAH COLLECTION ATUA MISS TANZANIA 2022
Next articleSANAA YA MAIGIZO YATUMIKA KAMPENI UTOAJI ELIMU AFYA YA UZAZI BAGAMOYO
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here