Home LOCAL HABARI PICHA: TCRA YAENDESHA SEMINA YA SIKU MBILI KWA WAANDISHI WA HABARI...

HABARI PICHA: TCRA YAENDESHA SEMINA YA SIKU MBILI KWA WAANDISHI WA HABARI ZA MTANDAO JIJINI DAR.

Mwenyekiti wa Kamati ya Maudhuhi kutoka Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Habbi Kunze (kulia) akizungumza kwenye semina ya waandishi wa habari za mtandao (hawamo pichani) inayofanyika kwa siku mbili katika ukumbi wa Ofisi za Mamlaka hiyo Jijini Dar es salaam. (kushoto) ni Mkuu wa kitengo cha Leseni na mawasiliano (TCRA) Mhandisi Andrew Kisaka.
 

Mkuu wa kitengo cha Leseni na mawasiliano (TCRA) Mhandisi Andrew Kisaka akitoa mada kwenye semina ya waandishi na wamiliki wa vyombo vya habari za mtandao inayofanyika kwa siku mbili Jijini Dar es Salaam.


Mjumbe wa Kamati ya Maudhui (TCRA) Dereck Mrusuri akifafanua jambo alipokuwa akitoa mada kwenye semina hiyo inayofanyika kwa siku mbili katika ukumbi wa mikutano wa Mamlaka hiyo Jijini Dar es Salaam.
 
PICHA MBALIMBALI ZA WAANDISHI WA HABARI WAKIWA KWENYE SEMINA HIYO.




LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here