Home LOCAL DIT YASHIRIKI MAADHIMISHO YA SHEREHE ZA MEI MOSI JIJINI DAR ES SALAAM

DIT YASHIRIKI MAADHIMISHO YA SHEREHE ZA MEI MOSI JIJINI DAR ES SALAAM

Mhadhiri Mwandamizi wa Taasisi ya Teknolojia Dar es Salaam (DIT) na Mwenyekiti wa THT Dkt. Daudi Simbeye (katikati mstari wa mbele) akiwa na baadhi ya watumishi wengine wa Taasisi hiyo wakati wa maadhimisho ya Mei Mosi yaliyofanyika leo Mei 1,2022 katika uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam.


Baadhi ya watumishi wa Taasisi ya Teknolojia Dar es Salaam (DIT) wakifuatilia sherehe za Mei Mosi katika Uwanja wa Uhuru Dar es Salaam ambapo Taasisi hiyo ni miongozi mwa Taasisi za Serikali zilizoshiriki maadhimisho hayo.

Watumishi wa DIT wakiwa kwenye picha ya pamoja mara baada ya kumalizika kwa sherehe hizo.  (PICHA NA: HUGHES DUGILO).

Previous articleSTAMICO YASHEREHEKEA SIKU YA WAFANYAKAZI DUNIANI (MEI MOSI)
Next articleSHILINGI 500 MILIONI KUMALIZA KERO YA MAJI VIJIJI VYA LWANDE NA SAGASI KILINDI TANGA
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here