Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Mafunzo na Utafiti wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Dkt. Pedro Pallangyo akiwaelezea huduma zinazotolewa na Taasisi hiyo wanafunzi kutoka shule ya Heaven of Peace Academy ya jijini Dar es salaam waliotembelea JKCI kwa ajili ya kujifunza magonjwa ya moyo ikiwa ni sehemu ya kupata mafunzo kwa vitendo. Wanafunzi hao wako katika Taasisi hiyo kwa muda wa siku tatu kwa ajili ya kujifunza magonjwa hayo pamoja na kuona huduma za matibabu zinavyotolewa.
Mkuu wa Idara ya Uuguzi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Salma Wibonela akiwafundisha taratibu za kuzuia na kujikinga na maambukizi wanafunzi kutoka shule ya Heaven of Peace Academy ya jijini Dar es Salaam wakati waliotembelea Taasisi hiyo kwa ajili ya kujifunza magonjwa ya moyo ikiwa ni sehemu ya kupata mafunzo kwa vitendo. Wanafunzi hao wako katika Taasisi hiyo kwa muda wa siku tatu kwa ajili ya kujifunza magonjwa hayo pamoja na kuona huduma za matibabu zinavyotolewa.
Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Mafunzo na Utafiti wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Dkt. Pedro Pallangyo akiwaonesha baadhi ya mashine zilizofungwa katika chumba cha kulaza wagonjwa mashuhuri (VIP Ward) jinsi zinavyofanya kazi wanafunzi kutoka shule ya Heaven of Peace Academy ya jijini Dar es Salaam waliotembelea Taasisi hiyo kwa ajili ya kujifunza magonjwa ya moyo ikiwa ni sehemu ya kupata mafunzo kwa vitendo. Wanafunzi hao wako katika Taasisi hiyo kwa muda wa siku tatu kwa ajili ya kujifunza magonjwa hayo pamoja na kuona huduma za matibabu zinavyotolewa.
Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Mafunzo na Utafiti wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Dkt. Pedro Pallangyo akiwaonesha wodi ya watoto wenye magonjwa ya moyo wanafunzi kutoka shule ya Heaven of Peace Academy ya jijini Dar es Salaam waliotembelea Taasisi hiyo kwa ajili ya kujifunza magonjwa ya moyo ikiwa ni sehemu ya kupata mafunzo kwa vitendo. Wanafunzi hao wako katika Taasisi hiyo kwa muda wa siku tatu kwa ajili ya kujifunza magonjwa hayo pamoja na kuona huduma za matibabu zinavyotolewa.
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Prof. Mohamed Janabi akiwa katika picha ya pamoja na wanafunzi na walimu kutoka shule ya Heaven of Peace Academy ya jijini Dar es Salaam waliotembelea Taasisi hiyo kwa ajili ya kujifunza magonjwa ya moyo ikiwa ni sehemu ya kupata mafunzo kwa vitendo. Wanafunzi hao wako katika Taasisi hiyo kwa muda wa siku tatu kwa ajili ya kujifunza magonjwa hayo pamoja na kuona huduma za matibabu zinavyotolewa.
Picha na JKCI