Home LOCAL VIKAO VYA BUNGE SASA KURUSHWA LIVE: KATIBU NENELWA

VIKAO VYA BUNGE SASA KURUSHWA LIVE: KATIBU NENELWA

Katibu wa Bunge, Ndg. Nenelwa Mwihambi, ndc akizungumza na Waandishi wa habari leo Aprili 4, 2022 katika Ukumbi wa Spika Bungeni Jijini Dodoma.

Katika mazungumzo hayo Katibu Nenelwa alisema baada ya maboresho ya Studio ya Bunge, Kamati ya Uongozi ya Bunge imeridhia Vikao vya Bunge vitaanza kurushwa live kuanzia kesho tarehe 5 Aprili, 2022 wakati wa Mkutano wa 7 wa Bunge ambao ni mahsusi kwa ajili ya kupitisha Bajeti ya Serikali.

(PICHA NA OFISI YA BUNGE)

Previous articleGGML YATOA SH.MILIONI 50 KWA HOSPITALI YA CCBRT
Next articleYASEMAVYO MAGAZETI ASUBUHI YA LEO JUMANNE APRIL 5-2022
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here