Home LOCAL TANZANIA NA KENYA KUENDELEA AWAMU YA PILI UIMARISHAJI MPAKA

TANZANIA NA KENYA KUENDELEA AWAMU YA PILI UIMARISHAJI MPAKA


Mkurugenzi wa Upimaji na Ramani Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Hamdouny Mansoor (wa pili kulia) na Mtendaji Mkuu Ofisi ya Mipaka ya Kimataifa nchini Kenya Bi. Juster Nkoroi (Kushoto) wakisaini Mapango Kazi wa Makubaliano ya kuanza utekelezaji kazi ya Uimarishaji Mpaka wa Kimataifa wa nchi hizo awamu ya pili tarehe 14 April 2022 wilayani Tarime mkoani Mara.


Mkurugenzi wa Upimaji na Ramani Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Hamdouny Mansoor (wa pili kulia) na Mtendaji Mkuu Ofisi ya Mipaka ya Kimataifa nchini Kenya Bi. Juster Nkoroi (Kushoto) wakibadilishana hati ya makubaliano ya Mpango Kazi wa utekelezaji kazi ya Uimarishaji Mpaka wa Kimataifa wa nchi hizo awamu ya pili tarehe 14 April 2022 wilayani Tarime mkoani Mara.


LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here