Home LOCAL SPIKA DKT. TULIA AMEKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA WAZIRI SIMBACHAWENE

SPIKA DKT. TULIA AMEKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA WAZIRI SIMBACHAWENE

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (Mb), amekutana na kufanya mazungumzo na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu- Bunge, Sera na Uratibu, Mhe. George Simbachawene, baada ya kumtembelea kwa lengo la kujitambulisha kwake katika Ofisi ya Spika iliyopo Bungeni Jijini Dodoma leo April 4, 2022.

(PICHA NA OFISI YA BUNGE)

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here