Home Uncategorized SIMBA SC YAIPIGA ORLANDO PIRATES 1-0 KWA MKAPA ROBO FAINALI YA KOMBE...

SIMBA SC YAIPIGA ORLANDO PIRATES 1-0 KWA MKAPA ROBO FAINALI YA KOMBE LA SHIRIKISHO AFRIKA

KLABU ya Simba Sc imeendelea kutka dozi mechi za kimataifa nara baada ya leo kuichapa klabu ya Orlando Pirates Fc bao 1-0 katika dimba la Benjamini Mkapa.

Bao hilo liliwekwa kimyani na beki kisiki Shomari Kapombe ambaye alipiga penati nzuri ambayo ikazama moja kwa moja wavuni.
Previous articleKUNA UMUHIMU MKUBWA KWA WATANZANIA KUJITOKEZA KWENYE ZOEZI LA SENSA: MAMA KEVELA
Next articleKUTOKA MAGAZETINI JUMATATU YA LEO APRILI 18-2022
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here