Home LOCAL RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AFUTURISHA MABALOZI WA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI (EAC)...

RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AFUTURISHA MABALOZI WA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI (EAC) NA MABALOZI WA JUMUIYA YA MAENDELEO YA NCHI ZA KUSINI MWA AFRIKA (SADC) USA

   Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Mabalozi wa Nchi Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) na Mabalozi wa Nchi Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC), baada ya Futari aliyoiyandaa kwa ajili ya Mabalozi hao Jijini Washington Marekani.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan, akiwa katika picha ya pamoja na Mabalozi wa Nchi Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) na Mabalozi wa Nchi Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC), baada ya Futari aliyoiyandaa kwa ajili ya Mabalozi hao Jijini Washington Marekani.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here