Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza kabla ya uzinduzi wa filamu ya Tanzania The Royal Tour katika ukumbi wa Guggenheim Museum, New York Nchini Marekani tarehe 18 April,2022.


Kikundi cha ngoma za asili kutoka Bagamoyo kikitumbuiza katika uzinduzi wa filamu ya Tanzania The Royal Tour katika ukumbi wa Guggenheim Museum, New York, nchini Marekani Tarehe 18 April.2022.
Wageni mbalimbali wakielekea ukumbini kushuhudua uzinduzi wa filamu ya Tanzania The Royl Tour katika ukumbi wa Guggenheim Museum, New York, nchini Marekani tarehe 18 April,2022. PICHA NA: IKULU.