Home LOCAL RAIS SAMIA AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA MEYA WA JIJI LA NEW YORK...

RAIS SAMIA AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA MEYA WA JIJI LA NEW YORK NCHINI MAREKANI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akizungumza na Meya wa Jiji la New York Mhe. Eric Adams Jijini humo nchini Marekani leo tarehe 18 Aprili, 2022.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Meya wa Jiji la New York Mhe. Eric Adams kabla ya kuanza mazungumzo yao katika Jiji hilo tarehe 18 Aprili, 2022 nchini Marekani.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya pamoja na Meya wa Jiji la New York Mhe. Eric Adams mara baada ya mazungumzo yao leo tarehe 18 Aprili, 2022 nchini Marekani.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akiagana na Meya wa Jiji la New York Mhe. Eric Adams mara baada ya mazungumzo yao leo tarehe 18 Aprili, 2022 nchini Marekani.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akizungumza jambo na Mtangazaji Maarufu wa Kituo cha Television cha CBS nchini Marekani Bi. Gayle King wakati alipokutana na Wafanyabiashara, Wawekezaji pamoja na Wadau Wakuu wa Sekta ya Habari wa nchini Marekani katika Jiji la New York leo tarehe 18 Aprili, 2022.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wafanyabiashara, Wawekezaji pamoja na Wadau Wakuu wa Sekta ya Habari wa nchini Marekani katika Jiji la New York leo tarehe 18 Aprili, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akizungumza jambo na Rais ambaye pia ni Mtendaji Mkuu wa US African Development Foundation USADF Travis Adkins wakati alipokutana na Wafanyabiashara, Wawekezaji pamoja na Wadau Wakuu wa Sekta ya Habari wa nchini Marekani katika Jiji la New York leo tarehe 18 Aprili, 2022.

PICHA NA IKULU.

Previous articleKUTOKA MAGAZETINI JUMATATU YA LEO APRILI 18-2022
Next articleMICHEZO WIZARA YA FEDHA BARA NA ZANZIBAR YAHAMASISHA UMOJA
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here