Home LOCAL RAIS SAMIA AELEKEA NCHINI MAREKANI KWA ZIARA YA KIKAZI

RAIS SAMIA AELEKEA NCHINI MAREKANI KWA ZIARA YA KIKAZI

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akiagana na Makamu wa Rais Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Dar es salaam wakati akielekea nchini Marekani kwa ziara ya kikazi.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here