Home INTERNATIONAL RAIS MSTAAFU WA KENYA MWAI KIBAKI AFARIKI DUNIA

RAIS MSTAAFU WA KENYA MWAI KIBAKI AFARIKI DUNIA

Rais Mstaafu wa awamu ya Tatu nchini Kenya Mhe.Mwai Kibaki amefariki Dunia Leo Aprili 22, 2022 akiwa na umri wa miaka 90.

Rais wa Kenya Uhuru Kenyata ametangaza kifo cha Mwai Kibaki leo.

Kibaki alikuwa Rais wa tatu wa Kenya alihudumu kwenye kiti hicho kuanzia Desemba 2002 mpaka Aprili 2013.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here