Home LOCAL RAIS MHE.SAMIA SULUHU HASSAN ASHIRIKI MAADHIMISHO YA SIKU YA KARUME DAY (KARUME...

RAIS MHE.SAMIA SULUHU HASSAN ASHIRIKI MAADHIMISHO YA SIKU YA KARUME DAY (KARUME DAY) KISIWANDUI ZANZIBAR

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan, akiwa katika Dua ya pamoja na Mama Mariam Mwinyi, Mama Mbonimpaye Mpango na aliyekuwa Mke wa Rais wa Kwanza wa Zanzibar Mama Fatma Karume katika Kumbukizi ya miaka 50 ya aliyekuwa Rais wa kwanza wa Zanzibar Hayati Sheikh Abeid Amani Karume leo tarehe 07 Aprili 2022 Afisi Kuu ya Chama cha Mapinduzi CCM Kisiwandui Zanzibar.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akiwa na Rais wa Zanzibar Dkt. Hussein Ali Mwinyi wakielekea katika Kaburi la aliyekuwa Rais wa Kwanza wa Zanzibar Hayati Sheikh Abeid Amani Karume leo tarehe 07 Aprili 2022 Afisi Kuu ya Chama cha Mapinduzi CCM Kisiwandui Zanzibar ikiwa ni kumbukizi ya Miaka 50 tangu kifo chake.

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akiweka Shada la Maua katika Kaburi la aliyekuwa Rais wa Kwanza wa Zanzibar Hayati Sheikh Abeid Amani Karume leo tarehe 07 Aprili 2022 Afisi Kuu ya Chama cha Mapinduzi CCM Kisiwandui Zanzibar ikiwa ni kumbukizi ya Miaka 50.  

  


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akiwa na Rais wa Zanzibar Dkt. Hussein Ali Mwinyi, Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango, Rais Mstaafu wa Zanzibar Mhe. Amani Abeid Karume, Mkuu wa Majeshi Jenerali Venance Mabeyo, wakiomba Dua mbele ya Kaburi la Rais wa kwanza wa Zanzibar Hayati Abeid Amani Karume leo tarehe 07 Aprili 2022 Afisi Kuu ya Chama cha Mapinduzi CCM Kisiwandui Zanzibar ikiwa ni kumbukizi ya Miaka 50 tangu kifo chake.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akizungumza na Rais Mstaafu wa Zanzibar Mhe. Amani Abeid Karume, na Makamu wa Rais Dkt. Philip Isdor Mpango baada ya kukamilika kwa Dua ya kumbukizi ya kutimia miaka 50 tangu kifo cha Rais wa kwanza wa Zanzibar Hayati Abeid Amani Karume iliyofanyika leo tarehe 07 Aprili 2022 Afisi Kuu ya Chama cha Mapinduzi CCM Kisiwandui Zanzibar.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akiagana na Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa baada ya kukamilika kwa Dua ya kumbukizi ya kutimia miaka 50 ya kifo cha Rais wa kwanza wa Zanzibar Hayati Abeid Amani Karume iliyofanyika leo tarehe 07 Aprili 2022 Afisi Kuu ya Chama cha Mapinduzi CCM Kisiwandui Zanzibar.

Previous articleMWENGE WA UHURU KUANZA MBIO ZAKE KESHO MKOANI RUVUMA
Next articleTSC NA WAKURUGENZI SHIRIKIANENI MTATUE KERO ZA WALIMU
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here