Home LOCAL MKE WA RAIS WA ZANZIBAR MAMA MARIAM MWINYI ATOA SADAKA YA FUTARI...

MKE WA RAIS WA ZANZIBAR MAMA MARIAM MWINYI ATOA SADAKA YA FUTARI KWA WAZEE WA UZI LEO.


MKE wa Rais wa Zanzibar ambae ni Mwenyekiti wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Mama Mariam Mwinyi akimkabidhi mmoja wa Wazee wa Kijiji cha Uzi Sadaka ya Futari, aliyokabidhi kwa Wazee wa Shehia mbili za Uzi na Ngambwa , hafla hiyo iliyofanyika katika Skuli ya Msingi Uzi Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja.(Picha na Ikulu)


MKE wa Rais wa Zanzibar ambae ni Mwenyekiti wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Mama Mariam Mwinyi akisalimiana na Viongozi wa Mkoa wa Kusini Wilaya ya Kati Unguja baada ya kuwasili katika viwanja vya Skuli ya Msingi Uzi,kwa ajili ya kutoa Sadaka ya Futari kwa Wazee kuazia umri wa miaka 70 wa Shehia mbili za Uzi na Ngambwa na (kushoto kwake) Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja Mhe Rashid Hadidi.(Picha na Ikulu)


MKE wa Rais wa Zanzibar ambae ni Mwenyekiti wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Mama Mariam Mwinyi akimkabidhi Misahafu Sheikh Ali Othman kwa ajili ya Madrasa na Misikiti ya Shehia ya Uzi na Ngambwa, hafla hiyo iliyofanyika katika Skuli ya Msingi Uzi.(Picha na Ikulu)


MKE wa Rais wa Zanzibar ambae ni Mwenyekiti wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Mama Mariam Mwinyi akizungumza na kutowa nasaha zake kwa Wananchi wa Uzi, wakati wa hafla ya kutoa Sadaka ya Futari kwa Wazee wa umri wa miaka 70, hafla hiyo iliyofanyika katika Skuli ya Msingi Uzi na (kushoto kwake) Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja Mhe.Rashid Hadidi. (Picha na Ikulu).


Previous articleCHONGOLO -CCM ITAENDELEA KUWEKA MSUKUMO KUHAKIKISHA MIUNDOMBINU INABORESHWA
Next articleUONGOZI WA CHAMA CHA USHIRIKA MACHINJIO YA VINGUNGUTI WALALAMIKIWA KWA KUSHINDWA KUTOA TAARIFA YA FEDHA KWA ZAIDI YA MIAKA MITANO
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here