Home LOCAL MAKATIBU WAKUU WIZARA YA AFYA BARA NA ZANZIBAR WASHIRIKI MKUTANO WA KIDS...

MAKATIBU WAKUU WIZARA YA AFYA BARA NA ZANZIBAR WASHIRIKI MKUTANO WA KIDS OR JIJINI LONDON

London, Uingereza.

Makatibu Wakuu wa Wizara ya Afya Tanzania Bara na Zanzibar Prof. Abel Makubi na Dkt. Fatuma Mrisho wameshiriki mkutano na wadau ambao wamekuwa wakisaidia jubudi za kupunguza vifo vya watoto wachanga na matatizo yanayohitaji upasuaji (Kids OR) mjini London.

Kids OR nchini Tanzania wamesaidia kujenga vyumba vya upasuaji vya watoto wachanga , vifaa na mafunzo katika Hospitali za Muhimbili, KCMC , Bugando vilevile katika nchi 22.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here