Home LOCAL MAKATIBU WAKUU WIZARA YA AFYA BARA NA ZANZIBAR WASHIRIKI MKUTANO WA KIDS...

MAKATIBU WAKUU WIZARA YA AFYA BARA NA ZANZIBAR WASHIRIKI MKUTANO WA KIDS OR JIJINI LONDON

London, Uingereza.

Makatibu Wakuu wa Wizara ya Afya Tanzania Bara na Zanzibar Prof. Abel Makubi na Dkt. Fatuma Mrisho wameshiriki mkutano na wadau ambao wamekuwa wakisaidia jubudi za kupunguza vifo vya watoto wachanga na matatizo yanayohitaji upasuaji (Kids OR) mjini London.

Kids OR nchini Tanzania wamesaidia kujenga vyumba vya upasuaji vya watoto wachanga , vifaa na mafunzo katika Hospitali za Muhimbili, KCMC , Bugando vilevile katika nchi 22.
Previous articleMATUKIO KATIKA PICHA WASHINGTON DC
Next articleSERIKALI YAONGEZA BILIONI 6 KUKAMILISHA UJENZI WA NYUMBA ZA WANA NGORONGORO
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here