Home LOCAL DKT.MPANGO AONGOZA MAADHIMISHO YA MIAKA 58 YA MUUNGANO WA TANGANYIKA NA ZANZIBAR

DKT.MPANGO AONGOZA MAADHIMISHO YA MIAKA 58 YA MUUNGANO WA TANGANYIKA NA ZANZIBAR


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akizungumza na Viongozi, Wanafunzi na wananchi mbalimbali wakati wa Maadhimisho ya Miaka 58 ya Muungano yaliofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete Mkoani Dodoma. Aprili 26,2022.


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akimkabidhi Kitabu cha Historia ya Muungano mmoja wa waliochanganya Udongo siku ya Muungano mwaka 1964 mzee Hasanieli Mrema wakati wa Maadhimisho ya Miaka 58 ya Muungano yaliofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete Mkoani Dodoma. Aprili 26,2022.


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akimkabidhi kadi ya bima ya Afya mmoja wa waliochanganya Udongo siku ya Muungano mwaka 1964 mzee Hasanieli Mrema wakati wa Maadhimisho ya Miaka 58 ya Muungano yaliofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete Mkoani Dodoma. Aprili 26,2022

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akimkabidhi zawadi Saada Omary Ali mwanafunzi wa Skuli ya Hifadhi Zanzibar akiwa miongoni mwa washindi wa uandishi wa insha katika mada za Muungano wakati wa Maadhimisho ya Miaka 58 ya Muungano yaliofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete Mkoani Dodoma. Aprili 26,2022.
 

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akizindua Kitabu cha Historia ya Muungano wakati wa Maadhimisho ya Miaka 58 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar yaliofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete Mkoani Dodoma. Aprili 26,2022.

Previous articleZAIDI YA WATOTO 62,155 KUNUFAIKA NA CHANJO YA POLIO IKUNGI
Next articleRAIS SAMIA ATOA MSAMAHA WA WAFUNGWA 3,82
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here