Home LOCAL DKT.CHAULA AONGOZA MAZISHI YA ALIYEKUWA MKUU WA CHUO CHA MAENDELEO YA JAMII...

DKT.CHAULA AONGOZA MAZISHI YA ALIYEKUWA MKUU WA CHUO CHA MAENDELEO YA JAMII MONDULI

 

KATIBU  Mkuu wa Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Dkt. Zainab Chaula, Aprili 08, 2022 amewaongoza wananchi na watumishi wengine wa wizara hiyo katika mazishi aliyekuwa Mkuu wa Chuo cha Maendeleo ya Jamii (CDTI) Monduli marehemu Elibariki Martin Ulomi.

Mazishi haya yaliyohudhuriwa na Watumishi wa Wizara kutoka Makao Makuu na Vyuo vya Maendeleo ya Jamii yamefanyika katika eneo la Ngaluma, Marangu mkoani Kilimanjaro.

Marehemu Elibariki Martin Ulomi alifariki tarehe 03/04/2022 katika Hospitali ya Rufaa KCMC Moshi alipokuwa akipata matibabu. Bwan Alitoa na Bwana Ametwaa Jina lake lihimidiwe. Amina

Previous articleMAWAZIRI WAELEZA UTEKELEZAJI WA MAELEKEZO YA MHE. RAIS TEHAMA KUPIMA UTENDAJI KAZI SERIKALINI
Next articleYASEMAVYO MAGAZETI JUMAPILI YA LEO APRILI 10-2022
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here