Home BUSINESS BODI YA WAKURUGENZI BoT WATEMBELEA SHUGHULI ZA KIUCHUMI KAGERA

BODI YA WAKURUGENZI BoT WATEMBELEA SHUGHULI ZA KIUCHUMI KAGERA

Mwenyekiti wa Bodi ya Kiwanda cha Sukari cha Kagera, Bw. Seif Ally Seif akitoa maelezo kwa wajumbe wa Bodi ya Benki Kuu ya Tanzania (BoT) walipotembelea Kiwanda hicho kilichopo Wilaya ya Mishenyi mkoani Kagera.
Bodi ya Wakurugenzi  ya Benki Kuu ya Tanzania (BoT) wakipewa maelezo  na mtaalamu kuhusu aina za miwa zinazolimwa na katika mashamba ya Kiwanda cha Sukari cha Kagera walipotembelea Kiwanda hicho mkoani Kagera. 

Bodi ya Wakurugenzi  ya Benki Kuu ya Tanzania (BoT) wakitoka katika Kiwanda cha Sukari cha Kagera baada ya kutembelea maeneo mbalimbali ndani ya Kiwanda hicho. 

 Bodi ya Benki Kuu ya Tanzania (BoT) katika kikao na Uongozi wa Kiwanda cha Sukari cha Kagera walipofanya ziara katika kiwanda hicho kujionea namna kinavyo endeshwa.
 

Bodi ya Wakurugenzi ya Benki Kuu ya Tanzania (BoT) wakiwa katika Mgodi wa Dhahabu wa Stamigold mkoani Kagera


Bodi ya Wakurugenzi ya Benki Kuu ya Tanzania (BoT) katika kikao na Uongozi wa Mgodi wa Dhahabu wa Stamigold mkoani Kagera walipotembelea Mgodi huo unaomilikiwa na serikali kujionea namna unaendeshwa.
Previous articleLIVE: MKUTANO MKUU MAALUM WA CCM, DODOMA
Next articleKINANA APITISHWA KWA KURA ZOTE, AWATAKA VIONGOZI KUSIMAMIA HAKI, DEMOKRASIA
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here