Home BUSINESS BENKI YA CRDB IMETOA SWADAKA KWA AJILI YA MWEZI MTUKUFU WA RAMADHANI...

BENKI YA CRDB IMETOA SWADAKA KWA AJILI YA MWEZI MTUKUFU WA RAMADHANI KWA WAHESHIMIWA WABUNGE

Spika wa Bunge, Mheshimiwa Dkt. Tulia Ackson akipokea zawadi mbalimbali ikiwemo miswala, tasbihi, chetezo, vikombe, tende na udi kwa ajili ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhani kwa waheshimiwa Wabunge kutoka kwa Afisa Mkuu wa Uendeshaji wa Benki ya CRDB, Bruce Mwile.
 

Spika wa Bunge, Mheshimiwa Dkt. Tulia Ackson akipokea zawadi kwa ajili ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhani kwa Waheshimiwa Wabunge kutoka kwa Afisa Mkuu wa Uendeshaji wa Benki ya CRDB, Bruce Mwile.

Spika wa Bunge, Mheshimiwa Dkt. Tulia Ackson akiwa katika picha ya pamoja na watendaji wa Benki ya CRDB mara baada ya Benki hiyo kumkabidhi zawadi mbalimbali ikiwemo miswala, tasbihi, chetezo, vikombe, tende na udi kwa ajili ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhani kwa waheshimiwa Wabunge

PICHA NA OFISI YA BUNGE

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here