Home SPORTS WAZIRI NDUMBARO AFANYA MAZUNGUMZO NA TIMU YA AJAX YA UHOLAZI JUU YA...

WAZIRI NDUMBARO AFANYA MAZUNGUMZO NA TIMU YA AJAX YA UHOLAZI JUU YA KUNADI VIVUTIO VYA UTALII TANZANIA

Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Damas Ndumbaro akiwa na Balozi wa Tanzania nchini Uholanzi, Mhe.Irene Kasyanju wakipewa maelezo Meneja Masoko wa Kilabu ya Ajax Bw. Ted Robinson mara baada ya kutembelea uwanja wa Kilabu hiyo kwa ajili ya kufanya mazungumzo ya kutangaza vivutio vya utalii vya Tanzania kupitia jezi na na mbao za matanagazo zilizopo katika uwanja wa Kilabu hiyo.
 

Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Damas Ndumbaro akiwa na Balozi wa Tanzania nchini Uholanzi, Mhe.Irene Kasyanju ( kulia) wakiwa katika picha ya pamoja na Watumishi wengine wa Ubalozi waliongozana nao kutembelea uwanja wa Kilabu hiyo mara baada ya kufanya mazungumzo na viongozi wa Kilabu ya Ajax kwa ajili ya kutangaza vivutio vya utalii vya Tanzania kupitia jezi na na mbao za matangazo zilizopo katika uwanja wa Kilabu hiyo

Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Damas Ndumbaro akiwa na Balozi wa Tanzania nchini Uholanzi, Mhe.Irene Kasyanju wakizungumza na Meneja Masoko wa Kilabu ya Ajax , Ted Robinson mara baada ya kutembelea duka la jezi za Kilabu ya Ajax

Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Damas Ndumbaro akiwa na Balozi wa Tanzania nchini Uholanzi, Mhe.Irene Kasyanju wakiwa wameongoza na Meneja Masoko, Ted Robinson mara baada ya kutembelea uwanja wa Kilabu hiyo kwa ajili ya kufanya mazungumzo ya kutangaza vivutio vya utalii vya Tanzania kupitia jezi na na mbao za matanagazo zilizopo katika uwanja wa Kilabu hiyo.


Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Damas Ndumbaro (katikati) akiwa na Balozi wa Tanzania nchini Uholanzi, Mhe.Irene Kasyanju ( wa pili kushoto) wakiwa pamoj na Watumishi wa UBalozi wa Tanzania nchini Uholanzi mara baada ya kutembelea uwanja wa Kilabu hiyo kwa ajili ya kufanya mazungumzo ya kutangaza vivutio vya utalii vya Tanzania kupitia jezi na na mbao za matanagazo zilizopo katika uwanja wa Kilabu hiyo.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here