Home Uncategorized SENEGAL YAIZAMISHA MISRI KWA MIKWAJU YA PENATI, YAFUZU KUCHEZA KOMBE LA DUNIA...

SENEGAL YAIZAMISHA MISRI KWA MIKWAJU YA PENATI, YAFUZU KUCHEZA KOMBE LA DUNIA QATAR

Senegal imefanikiwa kufuzu kombe la Dunia mara baada ya kufanikiwa kuwaondoa Misri kwa mikwaju ya penati baada ya kutoka kwa agg 1-1 kwenye mechi mbili nyumbani na ugenini.

Mechi ya kwanza ambayo ilipigwa nchiini Misri tulishuhudia Misri wakiondoka na ushindi wa bao 1-0 bao ambalo Senegal walijfinga kupitia kwa Saliou Ciss dakika ya 4 ya mchezo.

Katika raundi ya marudiano ambapo Senegal wakiwa nyumbani walipata bao kupitia kwa mshambuliaji wao Boulaya Dia dakika ya 3 ya mchezo na kuiwezesha timu yake kuibuka na ushindi kwenye mechi hiyo na matokeo yakawa agg 1-1.

Baada ya dakika 90 kumalizika ziliongezwa dakika 30 lakini milango yote haikuweza kufunguliwa mpaka hatua ya kupiga penati ikwadia.

Mohammed Salah miongoni mwa wachezaji waliokosa penati kwenye mechezo huo ambapo penati ya Sadio Mane  iliwapeka moja kwa moja Senegal kushiriki michuano ya kombe la Dunia nchini Qatar.

Story na: Emmanul Mbatilo, Fullshngwe Blog.

Previous articleGHANA YAFUZU KUCHEZA KOMBE LA DUNIA QATAR 2022
Next articleYASEMAVYO MAGAZETI JUMATANO YA LEO MACHI 30-2022
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here