Home LOCAL RC JOHN MONGELLA ATEMBELEA BANDA LA TGNP MAADHIMISHO SIKU YA WANAWAKE JIJINI...

RC JOHN MONGELLA ATEMBELEA BANDA LA TGNP MAADHIMISHO SIKU YA WANAWAKE JIJINI ARUSHA

Mgeni Rasmi ni Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. John Mongella akiwa kwenye banda la TGNP kwenye maadhimisho ya siku ya wanawake duniani kitaifa ambayo yamefanyika katika uwanja wa Sheikh Amri Abeid Jijini Arusha. Mongella ameipongeza TGNP kwa kazi kubwa inayofanya katika kuleta usawa wa kijinsia nchini. Kushoto ni Mkurugenzi wa TGNP, Bi. Lilian Liundi. Picha na Kadama Malunde – Malunde 1 blog.
 

Mgeni Rasmi ni Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. John Mongella (katikati) akiwa katika banda la TGNP kwenye maadhimisho ya siku ya wanawake duniani kitaifa ambayo yamefanyika katika uwanja wa Sheikh Amri Abeid Jijini Arusha. Kushoto ni Mkurugenzi wa TGNP, Bi. Lilian Liundi.
 

Mgeni Rasmi ni Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. John Mongella (katikati) akiwa katika banda la TGNP kwenye maadhimisho ya siku ya wanawake duniani kitaifa katika uwanja wa Sheikh Amri Abeid Jijini Arusha. Kushoto ni Mkurugenzi wa TGNP, Bi. Lilian Liundi.
 

Mgeni Rasmi ni Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. John Mongella (kulia) akiwa katika banda la TGNP kwenye maadhimisho ya siku ya wanawake duniani kitaifa ambayo yamefanyika katika uwanja wa Sheikh Amri Abeid Jijini Arusha.Kushoto ni Mkurugenzi wa TGNP, Bi. Lilian Liundi.
 

Mgeni Rasmi ni Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. John Mongella (kushoto) akiwa katika banda la TGNP kwenye maadhimisho ya siku ya wanawake duniani kitaifa ambayo yamefanyika katika uwanja wa Sheikh Amri Abeid Jijini Arusha. Kushoto ni Mkurugenzi wa TGNP, Bi. Lilian Liundi.
 

Wadu wakiwa katika banda la TGNP kwenye maadhimisho ya siku ya wanawake duniani kitaifa katika uwanja wa Sheikh Amri Abeid Jijini Arusha.

Picha na Kadama Malunde – Malunde 1 blog
Previous articleKANZIDATA YA TAIFA YA WANAWAKE NA UONGOZI TANZANIA YAZINDULIWA
Next articleABSA TANZANIA KUDUMISHA HAKI NA USAWA WA MAENDELEO KWA WAFANYAKAZI WAKE
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here