Home LOCAL RAIS WA ZANZIBAR MHE.DK.HUSSEIN ALI MWINYI AMEKUTANA NA KUZUNGUMZA NA RAIS WA...

RAIS WA ZANZIBAR MHE.DK.HUSSEIN ALI MWINYI AMEKUTANA NA KUZUNGUMZA NA RAIS WA SHIRIKISHO LA KIMATAIFA LA KUOGELWA (FINA) IKULU ZANZIBAR

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Rais wa Shirikisho la Kimataifa la Kuogolea (FINA) Bw.Husain Al Musallam.(kulia kwa Rais) alipofika Ikulu Jijini Zanzibar na Ujumbe wake kwa mazungumzo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu leo 15-3-2022, na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar Mhe. Simai Mohammed Said na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Ikulu Zanzibar.Mhe Jamal Kassim Ali.(Picha na Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na mgeni wake Rais wa Shirikisho la Kimataifa la Kuogolea (FINA) Bw.Husain Al Musallam.(kulia kwa Rais) alipofika Ikulu Jijini Zanzibar na Ujumbe wake kwa mazungumzo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu leo 15-3-2022.(Picha na Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhizwa zawadi maalum ya Jahazi na mgeni wake Rais wa Shirikisho la Kimataifa la Kuogolea (FINA) Bw.Husain Al Musallam, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 15-3-2022.(Picha na Ikulu)


RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi zawadi maalum ya Mlango wa Zanzibar mgeni wake Rais wa Shirikisho la Kimataifa la Kuogolea (FINA) Bw.Husain Al Musallam, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 15-3-2022.(Picha na Ikulu)

Previous articleWAZIRI NAPE NNAUYE AONYESHA UBUNIFU MKUBWA AKITANGAZA TAARIFA YA HABARI TBC1
Next articleSERIKALI YA TANZANIA YAKARIBISHA WAWEKEZAJI SEKTA YA KILIMO.
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here