Home LOCAL RAIS SAMIA SULUHU AFANYA MAZUNGUMZO NA MKURUGENZI MTENDAJI WA MFUKO WA NCHI...

RAIS SAMIA SULUHU AFANYA MAZUNGUMZO NA MKURUGENZI MTENDAJI WA MFUKO WA NCHI ZINAZOZALISHA MAFUTA KWA WINGI DUNIANI (OPEC Fund)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akiwa katika mazungumzo na Mkurugenzi Mtendaji wa Mfuko wa Nchi zinazozalisha Mafuta kwa wingi Duniani (OPEC Fund) Dkt. Alkhalifa Abdulhamid Saleh, Ikulu Chamwino leo tarehe 29 Machi, 2022.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akiwa katika mazungumzo na Balozi wa Tanzania nchini Austria Mhe. Celestine Mushy, Ikulu Chamwino Jijini Dodoma leo tarehe 29 Machi, 2022. Kwa mara ya kwanza Tanzania imefungua Ubalozi mpya katika nchi hiyo na Balozi Mushy anakuwa Balozi wa kwanza nchini Austria.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya pamoja na Balozi wa Tanzania nchini Austria Mhe. Celestine Mushy, Ikulu Chamwino Jijini Dodoma leo tarehe 29 Machi, 2022. Kwa mara ya kwanza Tanzania imefungua Ubalozi mpya katika nchi hiyo na Balozi Mushy anakuwa Balozi wa kwanza nchini Austria


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akiwa katika mazungumzo na Mkurugenzi Mtendaji wa Mfuko wa Nchi zinazozalisha Mafuta kwa wingi Duniani (OPEC Fund) Dkt. Alkhalifa Abdulhamid Saleh, Ikulu Chamwino leo tarehe 29 Machi, 2022.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu akiagana na Balozi wa Jamhuri ya Uganda aliyemaliza muda wake hapa nchini Mhe. Tumusiime Kabonero, baada ya kumalizika kwa mazungumzo yao Ikulu Chamwino Jijini Dodoma leo tarehe 29 Machi, 2022.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akiwa katika mazungumzo na Balozi wa Jamhuri ya Uganda aliyemaliza muda wake hapa nchini Mhe. Tumusiime Kabonero, mara baada ya kuwasili Ikulu Chamwino Jijini Dodoma leo tarehe 29 Machi, 2022.


Previous articleYASEMAVYO MAGAZETI ASUBUHI YA LEO J.NNE MACHI 29-2022
Next articleRAIS SAMIA APOKEA HATI YA UTAMBULISHO KUTOKA KWA BALOZI WA MAWILI,PIA ASHIRIKI MKUTANO WA EAC ULIOFANYIKA KWA NJIA YA MTANDAO,IKULU CHAMWINO DODOMA
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here