Home LOCAL RAIS SAMIA AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA MWENYEKITI NA RAIS WA BIG WIN...

RAIS SAMIA AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA MWENYEKITI NA RAIS WA BIG WIN PHILANTHROPY BI. JAMIE COOPER, IKULU CHAMWINO MKOANI DODOMA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akizungumza jambo na Mwenyekiti na Rais wa Big Win Philanthropy Bi. Jamie Cooper mara baada ya Kikao chao kilichofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma leo tarehe 26 Machi, 2022.
 


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha na Mwenyekiti na Rais wa Big Win Philanthropy Bi. Jamie Cooper aliyeambatana na Ujumbe wake Ikulu Chamwino mkoani Dodoma leo tarehe 26 Machi, 2022.
Previous articleBODABODA NA BAJAJI GEITA WATAJWA CHANZO UKATILI WA KIJINSIA KWA WATOTO GEITA.
Next articleMJUMBE WA KAMATI KUU YA HALMASHAURI KUU YA CCM TAIFA RAIS DKT. MWINYI AFUNGUA KONGAMANO LA MAADHIMISHO YA WIKI YA WAZAZI
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here