Home LOCAL RAIS HUSSEIN MWINYI ATENGUA UTEUZI WA WAKURUGENZI WATATU

RAIS HUSSEIN MWINYI ATENGUA UTEUZI WA WAKURUGENZI WATATU

Thank you for reading this post, don't forget to subscribe!
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi ametengua uteuzi wa Wakurugenzi watatu kuanzia leo tarehe 3 Machi, 2022.