Home BUSINESS NEMC YATOA ELIMU YA UTUNZAJI WA MAZINGIRA KWENYE MAONESHO YA KILIMO NA...

NEMC YATOA ELIMU YA UTUNZAJI WA MAZINGIRA KWENYE MAONESHO YA KILIMO NA MAZINGIRA NCHINI QATAR

Akionesha vifaa vya kisasa vinavyopima kwa haraka na kutoa majibu sahihi ya uchafuzi wa Mazingira.

Thank you for reading this post, don't forget to subscribe!

Picha ya pamoja Kati ya wawakilishi wa NEMC pamoja na wawakilishi wa Kampuni ya ORKA Trading inayopatikana nchini Qatar inayojishughulisha na utengeneza na uuzaji wa sensors mbalimbali kwa ajili ya kutambua uchafu na ubora katika mazingira.

Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya ORKA bw.Mohamed Abdalka akifafanua jinsi mashine zake za kubaini uchafuzi wa Mazingira jinsi zinavyofanya.

 .Mteja aliyetembelea Banda la NEMC ambaye anaishi Dubai akisaini namba maalum kwa ajili ya kupata taarifa mbalimbali kuhusu NEMC

Elimu na fursa zilizopo nchini Tanzania kupitia Sekta ya Mazingira zikifafanuliwa kwa wateja waliotembea banda la NEMC.

Wageni wakiuliza maswali yanayohusiana na utunzaji na uhifadhi wa Mazingira.